KUNDI LA WEUSI LAENDA KUFANYA VIDEO NCHINI KENYA, SABABU YA KUTOFANYA NA DIRECTOR NISHER IKO HAPA
Z Vile vipande vya video za Weusi zilizokuwa na title ya ‘OTEA’ ambazo zimekuwa zikiziruka kupitia akaunti zao za mitandao ya kijamii ya kuanzia wiki iliyopita, tayari imefahamika kuwa ni ujio wa video ya single yao mpya ijulikana nayo kama "Gere".
Nikki wa Pili akiwa kama msemaji wa Weusi amesema kuwa wameshoot video ya ‘Gere’ Nairobi, Kenya siku chache zilizopita na director Enos Olik ambaye pia alifanya video ya nguli kuroka kule nchini kenya Jaguar ijulikana nayo kama ‘Kioo’.
Hizi ni baadhi ya picha zao walizo achia weusi kwenye akaunti zao za kijamii
Pia niki wa pili alifunguka juu ya sababu ya wao kutofanya Video na Director Maarufu hapa bongo ajulikanaye kama Director Nisher
“Bahati
mbaya Nisher alikuwa yuko caught up na mambo mengi na sisi tulikuwa na
haraka so tukashindwa, kwasababu Arusha na Nairobi sio mbali tukavuka tu
boda tu fasta.”
Nikki ameongeza kuwa video ya ‘Gere’ itatoka wiki ijayo.Weusi
wamesema kabla video ya ‘Gere’ haijatoka wanataka kuifanyia biashara
kwa yeyote anayetaka kuipata exclusive kwa siku tano kabla haijatoka
rasmi iwe ni kampuni, blogs, au mtu binafsi.
“Hiyo ni biashara kwa mfano labda kampuni labda Voda au nani tunaweza tukawapa wakaweka kwenye page yao labda ya Facebook ikawa inapatikana
0 comments:
Post a Comment