Pichaz 30 za utengenezwaji wa video mpya ya Chege na Temba – Wauwe,Jokate nae ndani.
Ni
Chege na Mheshimiwa Temba tena,baada ya rekodi lkadhaa huu ni ujio wao
mwingine ambao wanategemea kuja nao baada ya muda mfupi,ni wimbo wao
mpya unaoitwa Wauwe wamemshirikisha kijana kutoka Mkubwa na Wanawe
anaitwa Maromboso tayari wameanza kushoot video hii ambayo imerekodiwa
jana Mei 25 kwenye uwanja wa Jk Nyerere International Airpot.
Jokate ‘Kidoti’ nae yupo kwa video hii ambayo mazingira ya
utengenezwaji wake Jokate anaonekana kama miongoni mwa marubani wa ndege
hiyo waliopigia video hii,wimbo umetengenezwa kwenye studio za Mkubwa
na Wanawe Producer ni Shriko na muongozaji wa video hii ni Adam Juma wa
Next Level.
Cheki baadhi ya picha hizo.
Credit.Millard Ayo

0 comments:
Post a Comment