Sauti Sol Wafunguka Kuhusu Deni Lao Kwa Rais Wao Wa Kenya.
Wasanii
wanaounda kundi la Sauti Sol wametuma Jumbe kupitia twitter kwa Rais wa
Kenya Mh Uhuru Kenyatta wakikumbushia kulipwa malipo yao show
walioyafanya kwenye Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru wa Kenya { Kenya
@50 }. Twit ilisema haya …
Na Mashabiki twitter walitoa yao
0 comments:
Post a Comment