eti msanii huyo ana ngoma.
Akizungumza na mwandishi wetu, Amanda alisema amechoshwa na watu wanaomkashifu mtandaoni wakidhani kila msanii ni mhuni.
“Nimeona nimtolee uvivu
kwani asifikirie Bongo Muvi wote tunatumia ARV, mimi nimepima mara ya
mwisho juzi na najiamini najua ninachokifanya, alinikera sana yule
kijana ndiyo maana nikampa makavu,” alisema Amanda
0 comments:
Post a Comment