TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA ILI UPATE MAFANIKIO KWA HARAKA ZAIDI

TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA ILI UPATE MAFANIKIO KWA HARAKA ZAIDI
Home » » Belle 9 : Video za kibongo karibu zote zinafanana, Nakuja na kitu cha tofauti.

Belle 9 : Video za kibongo karibu zote zinafanana, Nakuja na kitu cha tofauti.

Belle 9 anatarajia kufanya video ya "Shauri zao" ambapo kasema anatarajia kuja na kitu tofauti kutokana na mfanano wa Video nyingi za Kibongo

Akizungumza katika kipindi cha E- News cha EATV, Belle 9 amesema:
"Unajua sasa hivi video nyingi ukiangalia zinafanana location. Siwezi kuzitaja hizo video, sikupenda sasa hivi video itoke kwa kuwa sitaki ifanane na zingine ndio maana tunatumia muda mrefu kutafuta location ili iwe tofauti na video zingine na iwe video ambayo inaendana na wimbo. Kazi zangu mashabiki wanazijua na kila ngoma inayotoka huwa kali zaidi ya ile na sidhani kama kuna msanii anaweza kuwa hivyo kama mimi.”

Share this video :

0 comments:

Post a Comment

 
Support : Creating Website | WILLE Template | GOOGLE
Copyright © 2013. Dj Wille Zedon - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger