Binamu wa karibu wa msanii Jay Z ‘Brian Biggs aka “Bee-High‘ ameumbuka na kupondwa mtandaoni baada ya Mnigeria Davido kufanya collabo na Meek Mil, Binamu huyu anayefanya kazi kama mtafuta vipaji wa Roc Nation na Tidal ya Jay Z alitumwa Nigeria mwaka huu kutafuta vipaji na kurudi akiwa na jibu kuwa hakuna vipaji binavyoweza kufanya kazi na Roc Nation nchini Nigeria,
Mashabiki wameshangazwa na msanii Davido wa Nigeria kufanya video kali na Meek Mil bila kuwa na record lebel Marekani na kusema ndio vijana waliofaa kuwekwa Roc Nation.
Wachambuzi wa video Marekani wamesema video ya Davido “Fans Mi ft Meek Mil ni bora kuliko video ya Meek Mil ya wimbo wake “B Boy,”.
Ice Prince Na JayZ walikutanishwa na Bee High ingawa bado hajapewa lebel Roc Nation
Wasanii wa Chocolate City M.I, Ice Prince walivyokutana na Binamu wa Jay-Z, Brian Biggs aka “Bee-High” kuongelea muziki na wasanii wapya Nigeria.
0 comments:
Post a Comment