
Mshambuliaji mpya wa Free State Stars ya Afrika Kusini, Mrisho Khalfan Ngassa akiwa mbele ya gari la kutumia alilopewa na klabu yake hiyo baada ya kuwasili mjini Bethlehem leo yalipo makao makuu ya klabu hiyo ya Ligi Kuu ya nchini hum

Mke wa Ngassa, Radhia Mngazija akiwa jikoni kwenye nyumba yao baada ya kuingia leo

Radhia 'Nish' akiwa mlango wa nyuma wa nyumba yao mjini Bethlehem

0 comments:
Post a Comment