TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA ILI UPATE MAFANIKIO KWA HARAKA ZAIDI

TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA ILI UPATE MAFANIKIO KWA HARAKA ZAIDI
Home » » Ally Kiba: Kiukweli sisapoti hizi team, watu waache tusapoti vyakwetu

Ally Kiba: Kiukweli sisapoti hizi team, watu waache tusapoti vyakwetu

HitMaker wa Single ya Chekecha Ally Kiba amesema hafurahishwi na uhasama uliopo kati yake na mashabiki wa Diamond Platnumz.

Akizungumza katika kipindi cha Leo Tena cha Clouds Fm Ally Kiba amesema:
"Unajua sisi ni vioo vya jamii na tunapendwa na watu wengi sana, unapoona mambo yanatokea kama hivyo huwezi kufanya chochote na mimi siwezi kuingilia swala lolote la mashabiki"
Aliongeza "Lakini kiukweli sifurahishwi nalo na kama inawezekana wangeachana nalo, Tusapoti vya kwetu ili tuzidi kwenda mbele zaidi"


Share this video :

0 comments:

Post a Comment

 
Support : Creating Website | WILLE Template | GOOGLE
Copyright © 2013. Dj Wille Zedon - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger