TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA ILI UPATE MAFANIKIO KWA HARAKA ZAIDI

TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA ILI UPATE MAFANIKIO KWA HARAKA ZAIDI
Home » » Breaking News; Watatu Wafariki Dunia Baada ya Kupigwa Risasi wakishukiwa kuwa ni Al Shabab Morogoro.

Breaking News; Watatu Wafariki Dunia Baada ya Kupigwa Risasi wakishukiwa kuwa ni Al Shabab Morogoro.


Watu watatu wamefariki Dunia na wengine wawili wanasakwa na Jeshi la Polisi Mkoani Morogoro baada ya kushukiwa kuwa ni Al Shabab wakijaribu kufanya Jaribio mkoani Morogoro.Watu hao walifariki baada ya kurushiana risasi na Polisi taarifa zaidi itafuta mara baada ya mda mfupi.

Credit ITV Tanzania
Share this video :

0 comments:

Post a Comment

 
Support : Creating Website | WILLE Template | GOOGLE
Copyright © 2013. Dj Wille Zedon - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger