Posted by Dj wille zedon
Posted on 03:59
with No comments
Mufti Issa Bin Shaaban Simba akiwa na Rais Kikwete
KIONGOZI Mku wa Waislamu nchini Tanzania,Mufti Issa Bin Shaaban Simba
amefariki dunia leo ahsubuhi akiwa Hospitali ya TMJ jijini Dar es Salaam
alipokuwa amelazwa.
0 comments:
Post a Comment