TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA ILI UPATE MAFANIKIO KWA HARAKA ZAIDI

TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA ILI UPATE MAFANIKIO KWA HARAKA ZAIDI
Home » » Chibwa Kuja na Collabo na Msanii Mkubwa Wa Jamaica

Chibwa Kuja na Collabo na Msanii Mkubwa Wa Jamaica

Muziki wa Tanzania unazidi kukua! Msanii anaefanya muziki wa Dancehall ajulikanae na Chibwa anatarajia kufanya kazi na msanii kutoka Jamaica ajulikanae kama Elephant Man.

      Chibwa kazungumzia kolabo hii ya kimataifa! Chibwa amesema:
"Yah kuhusiana na Collabo na Elephant Man kuna Connection fulani ambayo ilikuwepo chini yangu au ilikuwa juuu yangu kabla ya yote kulikuwa na utaratibu  wa kufanya Track na BeanMan na nilishawahi kuongea Juu ya situation kama hii watu wakawa wanaendelea kuona ukimya kwamba vipi mbona hiyo track Chibwa alivyowahi sema mpaka sasa kimya, lakini round ya pili kuna vitu flani vilikuwa vinasababisha hiyo track ifanyike vikaja kuingiliana kuna mambo mengi ambayo mimi mwenyewe nilishindwa kuyaendesha kwa sababu kulikuwa na ammount flani kubwa ambayo aliitaka bean man hapo kukawa na mazingira flani ya utata juu yangu, kuhusiana na mchakato wa Elephant Man kwamba yuleyule brother alieweza kuniconnect na Bean man, yuleyule jembe amenikutanisha tena na Elephant Man, jamaa amepigania hiyo nafasi kwamba niweze kufanya na Elephant Man, kwa hiyo Elephant Man akataja ammount flani ambayo alikuwa anaihitaji ili kazi ifanyike, ikabidi niongee na uongozi wangu kwa sababu saiz Chibwa niko na uongozi unaonisimamia, nasimamiwa na kampun ya  zayan Mountain kwa kesi hii nikaipeleka kwao, ikafikia kipindi akatumiwa hela ambayo alikuwa anaihitaji elephant man kuweza kufanikisha hilo zoezi kwa hiyo alitumiwa kiwango alichokuwa amekihitaji baada ya hapo ikawa dili limekubalika, opportunity inakuja upande wa Chibwa pamoja na Mesen Selecta ambae atafanya beat ya nyimbo hii baina ya mimi na Elephant Man, kwa hiyo beat limeshatengenezwa na kila kitu kiko onset, leo hii naingiza vocal ya nyimbo hiyo na tutamtumia hizo vocal and the na yeye jumatatu na yeye atafanya vocal na jumatano tunatarajia kupata track kutoka jamaica" .

Share this video :

0 comments:

Post a Comment

 
Support : Creating Website | WILLE Template | GOOGLE
Copyright © 2013. Dj Wille Zedon - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger