TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA ILI UPATE MAFANIKIO KWA HARAKA ZAIDI

TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA ILI UPATE MAFANIKIO KWA HARAKA ZAIDI
Home » » DIAMOND PLATNUMZ AINGIA VIPENGELE VITATU KATIKA TUZO ZA MTV MAMA..VANESSA MDEE NAE AINGIA KWENYE KIMOJA

DIAMOND PLATNUMZ AINGIA VIPENGELE VITATU KATIKA TUZO ZA MTV MAMA..VANESSA MDEE NAE AINGIA KWENYE KIMOJA




                       
 Diamond anawania vipengele vitatu ambavyo ni Best Male Act, Best Collaboration kupitia wimbo wake ‘Bum Bum’ aliomshirikisha Iyanya, na Best Live. Katika vipengele hivyo anachuana na Davido, Wizkid, Mr Flavour (Nigeria), AKA (Afrika Kusini) pamoja na Sarkodie (Ghana)



Vanessa anawania kipengele kimoja cha Best Female ambacho atatoana jasho na Yemi Alade (Nigeria).
Kenya imewakilishwa na kundi la Sauti Sol wanaowania vipengele viwili vya Best Group na Song of The Year kupitia wimbo wao ‘Sura Yako’.
Tuzo za hizo zitatolewa Jumamosi ya July 18, 2015 huko Durban, Afrika Kusini na tukio hilo kuoneshwa moja kwa moja kupitia MTV Base (DStv channel 322), MTV (DStv channel 130) na BET (DStv channel 129) kuanzia saa 22:00 EAT.
Hii ni orodha kamili:

Best Male
AKA (South Africa)
Davido (Nigeria)
Diamond (Tanzania)
Sarkodie (Ghana)
Wizkid (Nigeria)
Best Female
Bucie (South Africa)
Busiswa (South Africa)
Seyi Shay (Nigeria)
Vanessa Mdee (Tanzania)
Yemi Alade (Nigeria)
Best Group
B4 (Angola)
Beatenberg (South Africa)
Black Motion (South Africa)
P-Square (Nigeria)
Sauti Sol (Kenya)

Best New Act Transformed by Absolut
Anna Joyce (Angola)
Cassper Nyovest (South Africa)
Duncan (South Africa)
Patoranking (Nigeria)
Stonebwoy (Ghana)
Best Hip Hop
Cassper Nyovest (South Africa)
K.O. (South Africa)
Phyno (Nigeria)
Olamide (Nigeria)
Youssoupha (DRC)
Best Collaboration
AKA, Burna Boy, Da LES &JR: “All Eyes On Me” (SA/Nigeria)
Davido featuring Uhuru &DJ Buckz: “The Sound” (Nigeria/SA)
Diamond & Iyanya: “Bum Bum” (Tanzania/Nigeria)
Toofan & DJ Arafat: “Apero Remix” (Togo/Ivory Coast)
Stanley Enow & Sarkodie: “Njama Njama Cow Remix” (Cameroon/Ghana)

Song of the Year
Cassper Nyovest: “Doc Shebeleza” (South Africa)
Euphonik featuring Mpumi: “Busa” (South Africa)
DJ Fisherman & NaakMusiQ featuring DJ Tira, Danger & Dream Team: “Call Out” (South Africa)
K.O featuring Kid X: “Caracara” (South Africa)
Lil Kesh Featuring Olamide & Davido: “Shoki Remix” (Nigeria)
Mavins: “Dorobucci” (Nigeria)
Sauti Sol: “Sura Yako” (Kenya)
Toofan: “Gweta” (Togo)
Wizkid: “Show You The Money” (Nigeria)
Yemi Alade: “Johnny” (Nigeria)
Best Live
Big Nuz (South Africa)
Diamond (Tanzania)
Flavour (Nigeria)
Mi Casa (South Africa)
Toofan (Togo)

Video of the Year
“Crazy” – Seyi Shay Featuring Wizkid; Director: Meji Alabi
“Doors” – Prime Circle; Director: Ryan Kruger
“Love You Everyday” – Bebe Cool; Director: Clarence Peters
“Nafukwa” – Riky Rick; Director: Adriaan Louw
“The Sound” – Davido Featuring Uhuru & DJ Buckz; Director: Sesan

Best Pop & Alternative
Fuse ODG (Ghana)
Jeremy Loops (South Africa)
Jimmy Nevis (South Africa)
Nneka (Nigeria)
Prime Circle (South Africa)

Best Francophone
DJ Arafat (Ivory Coast)
Jovi (Cameroon)
Laurette Le Pearle (DRC)
Tour 2 Garde (Ivory Coast)
Toofan (Togo)

Best Lusophone
Ary (Angola)
B4 (Angola)
Nelson Freitas (Cape Verde)
NGA (Angola)
Yuri Da Cunha (Angola)
Personality of the Year
Basketmouth (Nigeria)
Bonang Matheba (South Africa)
OC Ukeje (Nigeria)
Trevor Noah (South Africa)
Yaya Toure (Ivory Coast)
Share this video :

0 comments:

Post a Comment

 
Support : Creating Website | WILLE Template | GOOGLE
Copyright © 2013. Dj Wille Zedon - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger