Kylie Jenner ’17’ amesema yuko tayari kufanya muziki na atarekodi album na mpenzi wake ambaye ni rapa Tyga kwa mujibu wa Us Weekly
Kylie amekuwa akichukua masomo ya muziki na kutumia sauti kwa mujibu wa mama yake Kris Jenner. Kylie atapata msaada kutoka kwa shemeji yake ambaye ni rapa Kanye West na rafiki yake kipenzi msanii wa rnb Pia Mia.
Tyga ndio ataitayarisha album, hivi karibuni Kylie amebadilisha jina lake la instagram nakuanza kujiita “King Kylie,”.
0 comments:
Post a Comment