Rapa YG amepigwa risasi mara tatu akiwa kwenye eneo linalojulikana kama Studio City huko Los Angeles June 12 kwa mujibu wa TMZ.
Tokuo hilo limetokea usiku mida ya Saa nane kasoro ambapo rapa YG alipigwa risasi mara tatu kwenye paja na kuwaishwa hospitalini na marafiki. Polisi walijaribu kumfanyia mahojiano rapa huyo ila hakuwa tayari kutoa ushirikiano kwa polisi muda huo.
Mtu aliyempiga risasi bado hajafahamika.
Kama humfahamu huu ndio wimbo wake.
0 comments:
Post a Comment