TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA ILI UPATE MAFANIKIO KWA HARAKA ZAIDI

TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA ILI UPATE MAFANIKIO KWA HARAKA ZAIDI
Home » » Justin Bieber na Usher Raymond kulipa Dola million 10 kwa kukopi nyimbo.

Justin Bieber na Usher Raymond kulipa Dola million 10 kwa kukopi nyimbo.







                      


Justin Bieber na Usher Raymond wamekutwa na shtaka na wametakiwa kulipa Dola million 10 baada ya kukopi Nyimbo ya Justin Bieber inayoitwa "Somebody to Love" iliyofanyika mwaka 2010.
Muandishi wa nyimbo anayeafahamika kama Mareio Overton na muimbaji Devin Copeland anafahamika kama De Rico, wana wimbo wenye jina kama hilo hilo na wanawashtaki kwa wizi wa jina hilo (Copyrights Violation).
Wanasema ngoma hiyo inayo saini ya wakati sawa, beat, chords sawa na mashairi kwenye wimbo wao, Reuters imeripoti.
“Baada ya kusikiliza Copeland na wimbo wa Bieber na Usher, tuna hitimisha kwamba viitikio vyao vimefanana” Jaji Pamela Harris aliiandikia mahakama ya rufani.
Kesi hiyo ilifutwa Machi 2014 na Jaji wa U.S District ambae alihisi mahakama haiwezi kuona wizi wowote uliofanyika, Lakini Harris alisema kwamba mashairi “somebody to Love” imeimbwa “sawa kabisa na melody.
Share this video :

0 comments:

Post a Comment

 
Support : Creating Website | WILLE Template | GOOGLE
Copyright © 2013. Dj Wille Zedon - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger