Kanye West aligeuka gari aina ya Bugatti kwa kuwa na spidi ya zero to 100 ndani ya sekunde chache baada ya kugundua kuwa aliyekuwa mpenzi wake wa zamani Amber Rose yuko eneo moja na yeye kwenye party ya rapa Drake.
Kanye alikuwa kwenye pati hii kwa dakika 40 tu kabla ya dj kusema Amber Rose ameingia kwenye pati ndio Kanye aliamka na kuondoka haraka.
Kanye hakutaka kupigwa picha akiwa naye au pembeni yake sababu ikiwa ni beef yao iliyoanza mwazo wa mwaka huu Amber alipomuita Kim Kardashian ‘Kahaba’na Kanye West kujibu kwa kusema Amber ni mchafu.
0 comments:
Post a Comment