Mastaa kutoka Nigeria Paul na Peter Okoye wa P Square wameelezea kwanini hawaja hudhuria kwenye nyumba za ibada toka mwaka 2007.
P Square wamesema “kila walivyokuwa wakienda kanisani watu huwatazama na kuwafuatilia kuliko kufuatilia ibada na sala kitu ambacho kinatufanya tujiskia kama tunaharibu ibada za watu. watu wote tuko sawa mbele ya Mungu ndio maana sio sahihi kufanya watu waache sala sababu yetu ”
0 comments:
Post a Comment