TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA ILI UPATE MAFANIKIO KWA HARAKA ZAIDI

TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA ILI UPATE MAFANIKIO KWA HARAKA ZAIDI
Home » » MANENO YA AUNT EZEKIELY: WANAOSEMA NIMEJIFUNGUA NI MAPEPO

MANENO YA AUNT EZEKIELY: WANAOSEMA NIMEJIFUNGUA NI MAPEPO


Stori: Imelda Mtema/Amani
STAA wa filamu Bongo, Aunty Ezekiel amewabwatukia watu waliomzushia kuwa amejifungua na kusema kuwa anawaona kama wametumwa na mapepo wabaya.
Staa wa filamu Bongo, Aunty Ezekiel.
Akizungumza na Centre Spread, Aunty alisema anawashangaa wanaokurupuka na kuzungumza kitu ambacho si cha kweli kabisa na kwamba hakuna mtu ambaye alikuwepo siku aliyopata ujauzito huo.
“ Nafikiri watakuwa na mapepo wabaya hao wanaozungumza kitu ambacho si cha kweli.  Hakuna mtu ambaye anajua nilipata ujauzito lini na nitajifungua lini, waniache kabisa,” alisema Aunty.
Share this video :

0 comments:

Post a Comment

 
Support : Creating Website | WILLE Template | GOOGLE
Copyright © 2013. Dj Wille Zedon - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger