Msanii kutoka Nigeria Skales ameonekana kuchoshwa na maswali kuhusu wasanii wenzake wa lebel ya EME kukosekana kwenye album yake mpya “Man of the Year” .
Skales amesema ” Sio lazima Wiz Kid na Banky W wawepo kwenye album yangu, hawakuwepo muda mwingi nilivyokuwa studio na sababu kuwa ni kuwa nilirekodi nyimbo nyingi mapema zaidi“.
Mpaka sasa imefahamika kuwa Skales na Wiz Kid hawana maelewano mazuri.
0 comments:
Post a Comment