Mwanamuziki
nchini Tanzania, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amewatolea uvivu wanawake
wanaomshobokea mpenzi wake kwa kuwapa mkwara mzito endapo wataendelea na
tabia hiyo kwani hawajui wametoka wapi.
Hatua hiyo
imefikiwa baada ya mwanamke mmoja kujitokeza katika vyombo vya habari na
kudai kuwa ana ujauzito wa Nuh Mziwanda, jambo ambalo Mziwanda,
alilikanusha na kudai hana mwanamke wa nje zaidi ya Shilole.
Ameandika “Kutoka
picha ya kwanza mpaka ya pili sio kaz ndogo aiseee haraf nashangaaa
videm from no where vinaanza shobo mamaeeeee zenu kama mnatumwa
kufitinisha mapenz yetu mmefeli mimi ndo ashangedere na mim ndo shishi
mtoto wa Tabora nimezoea kula ugali sio wa chipsi mayai sasa mtu
ajifanye anshobo na baby wangu aje nimuoneshe jinsi majengo ya serikali
yanavyogawanywa watu! nampenda mpenz wangu ndo maana namsapot”
0 comments:
Post a Comment