
Rapper wa marekani maarufu kwa jina la Lil Wayne anategemea kuachia album yake mpya July 14, 2015 album inaitwa ‘Free weezy’ itakuwa Exclusive kwenye Jay Z’s Tidal, na Glory ni wimbo wake wa kwanza kwenye Album hiyo. alivujisha wakati alipokuwa kwenye National Wide Club Tour.
0 comments:
Post a Comment