Baada ya kupatikana na kosa la kuteka, Rick ross aliwekwa ndani toka June 24.
Sasa
Rick Ross yuko huru baada ya kutoa Faini ya Dolla million mbili,kibongo
bongo ni pesa ndefu sana, Rick Ross a.k.a The Boss ametoa mkwanja wote
na sasa yupo uraiani! Rick Ross aliwekwa ndani toka June 24 kwa kosa la
kuteka na madawa ya kulevya.
0 comments:
Post a Comment