TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA ILI UPATE MAFANIKIO KWA HARAKA ZAIDI

TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA ILI UPATE MAFANIKIO KWA HARAKA ZAIDI
Home » » Ali Kiba na Diamond Platnumz kwa midomo yao wenyewe wanakiri hawa beef.

Ali Kiba na Diamond Platnumz kwa midomo yao wenyewe wanakiri hawa beef.

                  wpid-diamond
Diamond Platnumz na Ali Kiba
Kwenye interview tofauti walizofanyiwa watu hawa maarufu wa muziki wa bongo fleva wote wamekiri kuwa hawana tatizo kati yao yani kwa maneno mengine hawana BEEF.
Hii ni tofauti na inavyochukuliwa na mashabiki zao ambao wamefikia kiwango cha kufanya kampeni ya kushusha wasanii hawa ilitu kuwashindanisha.
Ali kiba akiwa kwenye kituo cha Citizen alisema ” Mimi na Diamond hatujawahi kukutana sehemu tukagombana ”
Kiba aliendelea kusema “Hapendi kufananishwa na Diamond sababu kila mtu ana muziki na talent yake
 Kwenye Interview na Xxl wiki hii Diamond amedai kwamba ajawahi kuwa na beef nae hata siku moja… na kuhusu Team za Mitandaoni Diamond amesema “Sioni kama kuna ubaya wowote, kila mtu ana maamuzi kumchagua mtu anayemtaka yeye kumshabikia, huwezi kumlazimisha mtu”
Wawachukue msanii fulani na msanii fulani wawashindanishe na wasanii wa nje, ukiwashindanisha wasanii wa Tanzania haiwezi kusaidia Industry yetu.

Share this video :

0 comments:

Post a Comment

 
Support : Creating Website | WILLE Template | GOOGLE
Copyright © 2013. Dj Wille Zedon - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger