Mfanya biashara wa nguo Chuon Guen amefungua kesi ya madai dhidi ya rapa Tyga baada ya bidha yake kushindwa kufikia malengo yake. Mr Chuon ametaka dola milioni 1.6.
Lee na Tyga walianzisha nguo za Last King January 2013 na Tyga alitakiwa kuvaa na kutangaza chata ya Last Kings mpaka ipate nafasi ya kusambazwa na maduka ya nguo kubwa ya Tily.
Lee amesema Tyga aliacha kutangaza nguo hizo na kuanzisha chata ya nguo zake ya Egypt Kings.
0 comments:
Post a Comment