Nigerian Producer ‘LayLow’ anayetumia jina ‘Kelvin Boj’ ni miongoni mwa maproducer wa Afrika wanaofanya kazi mjini Atlanta na mpaka sasa amefanya kazi na Gucci Mane, Rich Homie Quan, Rae Sremmurd na Migos.
Producer huyu amepata shavu la kufanya kazi na msanii mpya anayekuja kwa kasi ‘Fetty Wap’ na wimbo wao umepewa jina ‘Olosho’ unategemewa kutoka wiki ijayo.
0 comments:
Post a Comment