Kitendo alichofanya staa wa muziki wa rnb Rihanna kwenye tuzo za BET Awards kwa bondio Floyd Mayweather ilikuwa njia ya kutengeneza kiki iliatoe video yake mpya ya B****h Better Have My Money.
Rihanna alichukua Sellotape na kumfunga mdomo Floyd Mayweather kama njia ya kuonyesha anamsumbua sana.
0 comments:
Post a Comment