Baada ya wema sepetu kushindwa kutamba katika kura za maoni, Msanii wa Kike wa kizazi kipya ajulikanae kama Keisha ameshinda kwa Kishindo katika kura za maoni huko Dodoma.
Keisha alikuwa anagombea viti maalumu Dodoma, baaada ya uchaguzi huo keisha aliongea mambo machache, Keisha amesema “mara nyingi watu wanakosa uthubutu kutokana na kutojiamini kuwa vile walivyo wanaweza kufanya mambo makubwa ya ajabu bila kujali kiwango cha elimu, pesa au mtandao alionao“.

0 comments:
Post a Comment