Wasanii wawili wa Nigeria wanaofanya vizuri Africa wanategemea kuachia wimbo wao wa pamoja mwezi ujao.
Davido ametweet na kusema ” BEST MALE 2 years in a row!! DAVIDO X WIZKID DROPS NEXT MONTH!!” ni baada ya kushinda Tuzo ya Mtv Mama 2015. Pia Collabo nyengine inayotegemewa kutoka ni ya DAVIDO na DIAMOND PLATNUM, Tazama Video HAPA Davido akithibitisha Collabo hiyo
0 comments:
Post a Comment