Mwimbaji kutoka Nigeria Timaya, amebarikiwa kupata mtoto wa kike weekend hii ikiwa ni mtoto wake wa pili. Mtoto huyu amepewa jina Emma. Emma ni mtoto wa pili wa Timaya na mpenzi wake wa muda mrefu Barbara.
Home »
» Picha, Timaya apata mtoto wa Pili.
Picha, Timaya apata mtoto wa Pili.
Posted by Dj wille zedon
Posted on 02:22
with No comments
Mwimbaji kutoka Nigeria Timaya, amebarikiwa kupata mtoto wa kike weekend hii ikiwa ni mtoto wake wa pili. Mtoto huyu amepewa jina Emma. Emma ni mtoto wa pili wa Timaya na mpenzi wake wa muda mrefu Barbara.
0 comments:
Post a Comment