Kwenye interview aliyofanyiwa na Mzazi William Tuza, Diamond Platnumz amesema wasanii wa Kenya ambao tayari anamipango ya kufanya nao kazi ni Jaguar, Collins Majale na Chikuzee.
Diamond aliendelea kusema hivi karibuni kuna kazi kubwa na msanii wa Kenya itatoka na kufanya vizuri Afrika Nzima.
Jaguar
Chikuzee
Collo
0 comments:
Post a Comment