Baada ya Jokate kuandika ujumbe mzito kwa Diamond Platnumz na kumshutumu kwa mambo mengu, Diamond nae kamjibu.
Diamond amesema “Mimi nimempost kama fan wangu, ile caption yangu sijamuandika jina kwanini achukulie vibaya, ukiona mtu anajishuku ujue kuna namna nyuma, mbona mimi napost watu wengi na caption zangu za vituko vituko manaake mimi nina caption za vituko mi ni mswahili nimezaliwa tandale nimekulia tandale na tandale ndo imenifanya niwe hapa nilipo, kuna caption zangu za uswahili coz uswahili ndio umenikuza mpaka kuwa fame, mbona naandikaga kwenye caption kwann kwake yeye ndo tatizo kwani kuna ubaya gani kuandika mtanyooka tu kama haimuusu,maana ukiona hivyo ujue kuna kitu kinamuhusu, yeye mpaka nimeenda kuchukua tuzo amesapoti nini , alipost hata post moja ya kusema mpigie kura Diamond, anajishaua eti nimesapoti kasapoti nini“.

0 comments:
Post a Comment