Rapa Eminem amefanyiwa interview hivi karibuni na kusema kwa sasa anasikiliza wasanii kama Lil Wayne, Drake, Big Sean, Kanye West Na ScHoolboy Q. Eminem pia amesema anampenda Kendrick Lamar.
Akiongelea muziki wa vijana Eminea amesema hiphop bado inamhitaji Drake , Big Sean.
0 comments:
Post a Comment