Staa wa muziki kutoka Ghana ‘Fuse ODG’ ameonyesha kukerwa na kitengo cha waandaji wa tuzo za muziki kubwa duniani za kituo cha tv cha BET kwa kuwapa wasanii wa Afrika tuzo zao muda na eneo tofauti na tuzo wanazoshinda wasanii wakubwa wa Marekani kama Nicki Minaj na Drake.
Wasanii wa Afrika hupewa tuzo zao back stage kabla au baada ya tuzo na hurekodiwa na clip kuunganishwa kijanja kwenye show yao inayorushwa siku chache baada.
Fuse ODG Wa Ghana amewachana BET kwa kusema “Hatujaja kwenye tuzo sababu hamtupi heshima wasanii wa kimataifa, mnatupa tuzo zetu back stag
0 comments:
Post a Comment