TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA ILI UPATE MAFANIKIO KWA HARAKA ZAIDI

TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA ILI UPATE MAFANIKIO KWA HARAKA ZAIDI
Home » » Hiki ndio kitu cha mwisho atafanya Puff Daddy kabla haja staafu muziki kabisa.

Hiki ndio kitu cha mwisho atafanya Puff Daddy kabla haja staafu muziki kabisa.

                   
                     puff
Rapa Puff Daddy anaelekea kustaafu muziki baada ya kutangaza album yake ya mwisho.Pdd ambaye ni msanii wa hiphop mwenye pesa nyingi zaidi duniani amemtumia msanii wake mpya wa Bad Boy Entertainment ‘Gizzle‘ kutangaza kuwa album yake ya mwisho itakuwa ni ‘ No Way Out 2′ ambayo ni muendelezo wa ‘No Way Out 1′ album yake ya mwaka 1997 wakati anatoka.
Awali Pdd alitangaza kutoa album ya MMM (Money Making Mitch)  ila imewekwa pembeni kwaajili ya hii project.
Share this video :

0 comments:

Post a Comment

 
Support : Creating Website | WILLE Template | GOOGLE
Copyright © 2013. Dj Wille Zedon - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger