Kampuni kubwa ya simu Africa Globacom imeingia mkataba wa ubalozi na wasanii watatu wakubwa wa lebel ya Don Jazyy ‘Mavin Records’.
Wasanii hawa ni Korede Bello, Reekardo Banks na Di’Ja ambao wamekuwa mabalozi wa Glo na watajiunga na balozi mwenzao Wiz Kid. Mavin Records kwa sasa ni nyumbani kwa kampuni kubwa za simu Afrika kama MTN na Glo.
Mabalozi wa MTN ambao wako Marvins ni Don Jazzy, Tiwa Savage na Dr Sid na msanii mmoja tu ambaye ni D’Prince ndio sio balozi
0 comments:
Post a Comment