Rapa The Game amesema bado analipwa pesa nyingi tu na kundi lake la zamani la G Unit. Akiongea na Tmz The Game amesema “Zaidi ya dola milioni 30 na bado naendelea kulipwa, sitengenezi pesa kwenye radio ila natengeneza pesa mtaani”.
Fahamu The Game hakuwa kwenye kundi la G-Unit walivyotangaza kurudi pamoja mwaka 2014 ba bado haelefani na rapa 50 Cent.
0 comments:
Post a Comment