TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA ILI UPATE MAFANIKIO KWA HARAKA ZAIDI

TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA ILI UPATE MAFANIKIO KWA HARAKA ZAIDI
Home » » Klabu ya Arsenal yatwaa kombe kombe la Emirates

Klabu ya Arsenal yatwaa kombe kombe la Emirates

Klabu ya Arsenal imefanikiwa kutwaa kombe la Emirates baada ya kuibuka na ushindi wa goli 1-0 dhidi ya klabu ya Wolfsburg katika mchezo mkali ulioisha hivi punde.
_84498330_emirates
Arsenal ikicheza katika dimba lake la nyumbani la Emirates ilipata goli hilo dakika ya 50 kupitia kwa mshambuliaji wake Theo Walcott aliyeunganisha vyema pasi ya mshambuliaji kinda Jeff Reine-Adelaide.
Ubingwa huu ni wa nne kwa Arsenal tangu michuano hiyo ilipoanza kutimua vumbi lake mwaka 2007 na wa kwanza tangu 2010.
11751759_516723611818572_2328197491507187993_n
Katika mchezo wa awali klabu ya Villarreal iliibuka na ushindi baada ya kuwafunga mabingwa wa zamani wa Ufaransa Olympique Lyon kwa goli 2-0.
Share this video :

0 comments:

Post a Comment

 
Support : Creating Website | WILLE Template | GOOGLE
Copyright © 2013. Dj Wille Zedon - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger