Muigizaji Wema Sepetu alikuwa miongoni mwa watu wanawake waliogombea nafasi ya kuwakilisha mkoa wa Singida kwenye Ubunge wa viti maalumu ila baada ya kua kupigwa hakupata ushindi na matokeo yalionyesha amepata kura 90 na kushika namba nne.
Hizi ni picha za alivyopokelewa Dar es salaam 26 July 2015.
0 comments:
Post a Comment