Mtandao wa Twitter umeona tatizo la watu kukopi tweet za watu, sasa wameanzisha program ambayo itafanya tweet zote ambazo zimekopiwa kutoonekana katika mtandao huo
Twitter imeanzisha sheria hiyo ambayo itafanya tweets zote ziwe na copyright, hivyo wale ambao wamezoea kukopi na kupest tweets za watu wajiandae.
Hii hapa chini ni TweeOriginal…
Hizi hapa chini ni post ambazo zimekopiwa zicheki hapa chini uone tofauti.
0 comments:
Post a Comment