Rapa kutoka Marekani ‘Fetty Wap’ amekubali kufanya kazi na Mnigeria Ayo Jay. Kupitia kurasa yake ya instagram Ayo Jay ameweka picha akiwa studio na Fetty Wap .
Hii ni taarifa nzuri kwa Nigeria baada ya Fetty Wap kukubali kufanya wimbo wake kwa mitindo ya Afro Pop na wasanii wa Nigeria Davido na Wizkid.
0 comments:
Post a Comment