Aliyekuwa mchumba wa rapa Nicki Minaj ‘Safaree Samuel’ ambaye amekaa kwenye mahusiano na Minaj kwa miaka 12 amemuonyesha mpenzi wake mpya kama njia ya kuonyesha kuwa bado anakubalika na wanawake na kwamba anaweza kuwa na mtoto mkali zaidi ya Nicki Minaj.
Sababu ya kuachana kwa Nicki Minaj na Safaree ilikuwa usaliti wa pande zote mbili. Mpenzi wake mpya wa Safaree ni Makeup artist kutoka Miami ‘Zashia
0 comments:
Post a Comment