Msanii wa Ghana Stonebwoy amethibitisha kuwa rapa Wacka Flocka kutoka Marekani ataonekana kwenye video yake mpya ya wimbo wa ‘Talk To Me’. Kwenye wimbo huu kashirikishwa msanii kutoka New York anayefanya muziki wa Dancehall Kranium. Kranium anafahamika kwa wimbo wake “Nobody Has to Know”.
Video inafanywa na muongozaji kutoka Ghana Jorge Freeman.
0 comments:
Post a Comment