Rapa Aka wa Afrika kusini amebarikiwa kupata mtoto wa kike na mchumba wake Dj Zinhle.
Aka aliandika instagram kuwa amefurahi kuwaambia mashabiki ake kuwa amepata mtoto na amempa jina Kairo Owethu Forbes. Mtoto kazaliwa akiwa na afya nzuri na mama yake yuko salama.
Dj Zinhle
0 comments:
Post a Comment