Wasanii watakaofanya show kwenye tuzo za mtv mama 2015 imeongezeka tena , tunafahamu Diamond Platnumz na Davido wamepangwa kufanya show na wasanii wengine ni 2 Face kutoka Nigeria, Wiz kid wa Nigeria, Yemi Alade wa Nigeria, South Afrika watafanya show Black Motion, Cassper Nyovest na Brucie na Togo yupo Toofan.
Pai kutoka Marekani msanii wa rnb Neyo, Rapa Young Thug na mwimbajo wa rnb na soul Jhene Aiko. Tuzo zinafanyika July 18 2015 Durban South Africa.
0 comments:
Post a Comment