Kupitia mahojiano aliyofanyiwa hivi karibuni kuhusu mapenzi msanii huyu alikiri kuwa ‘Hawezi na hata kaa kuja kuwa na mahusiano wa kimapenzi na msanii wa kiume wa Nigeria sababu hawajui kupenda na hawana pesa’.
Baada ya kupondwa na mchekeshaji maarufu nchini Humo, Cynthia Morgan alisema wasanii wa kiume [R full of Crup] akimaanisha wanamambo ya hovyo ndio maana hawafi kuwa wanaume wa mwanamke anayejitambua
0 comments:
Post a Comment