Msanii wa Ghana Stonebwoy aliyeshinda tuzo ya Best International Act Africa ya BET 2015 amesema msanii mwenzake kutoka Ghana ‘Sarkodie’ ndio Jay Z wa nchi yao.
Kwenye interview na jarida la Noisey, alisema “tuna wimbo tumefanya na JD Era na Sarkodie ambaye ndio Jay Z wa Ghana.”
Stonebwoy amesema wimbo wake wa Hills and Valley na dili la lebel ya Samini ndio vimefungua milango y mafanikio yake.
0 comments:
Post a Comment