Staa wa muziki kutoka Uingereza Rita Ora anajipanga kutoa wimbo wake unaotegemewa kuwa mkubwa na kumpa umaarufu zaidi duniani, wimbo unaitwa “Body On Me,” na kashirikishwa mkali wa rnb Chris Brown.
Muongozaji wa video ya ‘Ayo’ Colin Tilley ndiye amefanya video yao. Rita Ora kwa sasa ni jaji wa mashindano ya vipaji ya “The X Factor.”
0 comments:
Post a Comment