TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA ILI UPATE MAFANIKIO KWA HARAKA ZAIDI

TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA ILI UPATE MAFANIKIO KWA HARAKA ZAIDI
Home » » Mwezi huu ni 50 Cent na muigizaji Jake Gyllenhaal kwenye filamu ya Southpaw

Mwezi huu ni 50 Cent na muigizaji Jake Gyllenhaal kwenye filamu ya Southpaw

                       
                            southpaw
Rapa na muigizaji 50 Cent amesema Eminem anakubali kipaji chake cha kuigiza na ameipenda filamu yake mpya ya Southpaw. 50 Cent na muigizaji Jake Gyllenhaal wapo kwenye kurasa ya mbele ya jarida la VIBE kwenye toleo la mwezi wa nane.
50 Cent amesema Eminem alitakiwa kucheza kwenye filamu hio ila baadae aliamua kuwa producer wa nyimbo zilizotumika kwenye filamu hio
Share this video :

0 comments:

Post a Comment

 
Support : Creating Website | WILLE Template | GOOGLE
Copyright © 2013. Dj Wille Zedon - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger