Msanii wa muziki wa Afrobeats Kcee aliyefanya kazi na Shetta wa
Tanzania amekamilisha video yake mpya ya wimbo aliofanya na Diamond
Platnumz.
Video imefanywa na Director Nick Roux nchini South Africa.
Bonyeza play kuitazama na nipe mtazamo wako kwenye comments hapo chini.
0 comments:
Post a Comment