Kupitia mahojiano aliyofanyiwa hivi karibuni T.I Amesema album yake itaitwa The Dime Trap. Akiongelea mfumo wa album yake mpya T.I Amesema baad ya kufanya nyimbo kama ‘Whatever You Like’,‘Dead and Gone,’ na ‘Blurred Lines ni muda wa kuendelea kufanya muziki wa vijana zaidi.
Awali album ilipewa jina Unapologetically gangsta, ikabadilisha na kuitwa Trap’s Open na baadae ikaitwa Paperwork: The Return.
0 comments:
Post a Comment